...

Jamii Voice Media

Tunasimama na jamii, kuhakikisha tunatoa habari za kuelimisha, kuibua na kudai kuchukuliwa kwa hatua ili kuondoa tatizo. masuala ya Kijinsia yanayoandikwa na Blog yetu yatatumika kama maudhui ya kufundishia au kujifunzia

Fun Facts

Fun Fact

"Love and do what you will." – St. Augustine of Hippo

Qoute

As the female President in my country, the burden of gender equality is on my shoulders-President Samia Suluhu Hassan

Fun Fact

50/50 gender balance with a focus on tangible contributions and delivery

Did You Know?

Gender Equality Is Not Just a Women’s Issue

Featured Posts
Mdahalo wa TGNP waisukuma RUWASA kupeleka maji sekondari ya Mgagao

Mdahalo wa TGNP waisukuma RUWASA kupeleka maji sekondari ya Mgagao

KUTOKANA na shida kubwa ya ukosefu wa maji safi na salama katika shule ya sekondari Mgagao, wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro, linasababisha kushukja kwa kiwango cha ufaulu na kusababisha utoro, hadha hiyo inaenda kutatualiwa hivi karibuni

Read More
NGOMA za unyago zachangia mimba za utotoni Kibaha

NGOMA za unyago zachangia mimba za utotoni Kibaha

Uwepo wa ngoma za jadi wanazochezwa wasichana wadogo kwa jamii ya Mkoa wa Pwani kumechangia uwepo wa ndoa na mimba za utotoni na kusababisha wasichana kuhsindwa kufikia ndoo zao ikiwepo kuwa viongozi katika jamii.

Read More
TGNP yaendesha utafiti raghibish Mgagao Mwanga

TGNP yaendesha utafiti raghibish Mgagao Mwanga

Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), umewawezesha wananchi kutoka kata ya Mgagao, Halmashauri ya Wilaya ya mwanga, Mkoani Kilimanajro kuendesha zoezi la utafiti uraghibish ili kutokomeza vitnedo vya Ukatili wa Kijinsia na kukuza usawa wa Kijinsia.

Read More
“Tamasha la Jinsia laja na mapendekezo haya’

“Tamasha la Jinsia laja na mapendekezo haya’

Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), kwa kushirikiana na wadau katika ngazi zote wamefanya Tamasha la 7 la Jinsia ngazi ya Wilaya katika Viwanja vya Sabasaba, Wilaya ya Kondoa, Mkoani Dodoma.

Read More

Trending Posts

Nafasi ya mwanaume katika kujenga Jiji la Mungu; Kufuata nyayo za Mtakatifu Augustino

Nafasi ya mwanaume katika kujenga Jiji la Mungu; Kufuata nyayo za Mtakatifu Augustino

Katika dunia ya sasa inayokabiliwa na changamoto nyingi za kijamii, kiroho, na kimaadili, mwanaume Mkristo anaalikwa kuishi maisha ya toba, upendo, na uongozi wa kiroho

Read More
Kondoa Tuinuke pamoja, Community groups equipped to advance Gender Equality

Kondoa Tuinuke pamoja, Community groups equipped to advance Gender Equality

More than 80 community gender facilitators (Waraghibishi) from Kondoa District Council and Kondoa Town Council have completed an intensive four-day training aimed at empowering them to lead gender-responsive and inclusive development in their communities

Read More
Pendo’s Leadership Sparks a Gender-Inclusive Movement in Rural Tanzania

Pendo’s Leadership Sparks a Gender-Inclusive Movement in Rural Tanzania

“With just one dormitory for girls, we can reduce dropout rates and early pregnancies. Education becomes safer when girls live near school. These are the changes we’re fighting for.”

Read More
"Msigani ward Leads Change with ABCD and Triple A Tools"

"Msigani ward Leads Change with ABCD and Triple A Tools"

Between April 19th and 30th, 2025, the Tanzania Gender Networking Programme (TGNP) facilitated a dynamic Participatory Action Research (PAR) process in Msigani Ward, Ubungo Municipal

Read More
Women Village Leaders in Hanang Equipped to Improve Health, Water, and Hygiene Services

Women Village Leaders in Hanang Equipped to Improve Health, Water, and Hygiene Services

The District Executive Director of Hanang District Council, Ms. Teresia Irafay, has reaffirmed her council's commitment to ensuring that planning and budgeting processes are gender-responsive.

Read More